Namna ya kualika mwanachama kupitia nambari ya simu?

Kama msimamizi wa SACCO, unaweza kualika mwanachama kwa kutumia nambari yake ya simu. Tazama video au fuata hatua hapa chini jinsi ya kualika mwanachama kwa kutumia nambari za simu za wanachama wa saccos.

  1. Fungua mfumo wa CAMS kwenye simu yako ya mkononi au kompyuta.
  2. Kwenye dashibodi, bofya kitufe cha Mwanachama kilicho upande wa kushoto wa mfumo.
  3. Kwenye upande wa kulia wa mfumo, bofya kitufe cha "Alika Mwanachama".
  4. Bofya kwenye kiungo cha Kutumia nambari ya simu
  5. Ingiza nambari yake ya simu
  6. kisha Bofya kitufe cha mwaliko.

Imekamilika! Sasa mwanachama wa Saccos atapokea sms ya mwaliko kwenye saccos yako.


Video ya jinsi ya kualika wanachama wa Saccos kupitia nambari ya simu katika akaunti ya CAMS inapatikana pia kwenye ukurasa wetu wa YouTube; bonyeza kiungo hapa chini ili kuipata.
https://youtu.be/CByGE7zWW0k